Skip to main content

Nafasi Ya Kazi - Dereva

Kampuni maarufu ya uchukuzi iliyo na vituo vyake karibu na Nakuru na Mombasa ina nafasi ya kazi kwa Dereva wa Trela nzito.
Ni lazima awe na vyeti vifuatavyo:-Leseni halali ya I - Art. M/VKitambulisho halaliBarua kutoka kwa mwajiri wako wa zamaniOnyesha kwa vyeti kuwa umeendesha lori lenye uzito (semi trailer) kwa muda usiopungua miaka mitano.Tuma barua na nakala zako kwa:-
Mkurugenzi Mkuu,
Sanduku la Posta 15030
Nakuru 20100

Comments